Thursday, June 30, 2016

MAELEKEZO YA KUJIUNGA K5 MWAKA 2016/2017

BONYEZA HAPA JOIN 2016/2017 KUPATA MAELEKEZO YA KUJIUNGA K5  MWAKA 2016/2017
VIFAA VINAVYOPATIKANA SHULENI BONYEZA HAPA VIFAA VYA SHULE

TANZIA

Habari za siku.Kwa wale waliokuwa wanamfahamu Mr.Mwandata a.k.a Faza ambaye alikuwa mpishi amefariki dunia. R.I.P Faza.

Monday, July 6, 2015

Minaki Joining Instruction 2015/2016

Maelezo ya kujiunga Kidato cha Tano 2015/2016 bonyeza hapa CLICK HERE
Mr.Karugendo(Mhasibu wa shule) amefariki dunia siku ya tar 2/07/2015 msiba upo kwake Pugu .Ila mazishi yatafanyika kwao Bukoba.R.I.P  Mr.T. Karugendo

Monday, March 23, 2015

Minaki group 2015 visit BBC Swahili in London

Fungua link hapo chini kuona wanafunzi wa minaki na walimu waki matembezini Uingereza katika shirika la utangazaji la BBC.
 
AU unaweza kutafuta ndani ya you tube kwa kuandika Dira ya dunia ijumaa 200315.
 
Video ikifunguka mahojiano yanaonekana kuanzia dakika ya 14:10 kwenye hiyo video

Thursday, March 19, 2015

Minaki Group 2015 Trip

 Minaki group 2015 at IMBERHORNE  School in London.

 Minaki group 2015 at Tanzania High Commission London.

Tuesday, March 17, 2015

Minaki school 2013 AND 2014 group in Picture



TANZANIA GROUP TO UK 2013
TANZANIA GROUP TO UK 2014 

Picha hiyo hapo juu wako katikati ya Jiji la Uingereza