STAFF NEWS

  • Mr.Karugendo(Mhasibu wa shule) amefariki dunia siku ya tar 2/07/2015 msiba upo kwake Pugu .Ila mazishi yatafanyika kwao Bukoba.R.I.P  Mr.T. Karugendo.
  • Madam Zilpa amejifungua mtoto wa kiume
  • Madam  aveline blasio amejifungua mtoto wa kike.
  • Kikao cha wafanyakazi kitafanyika tarehe 14/05/2013 unaombwa kufika bila kukosa.
  • Fomu za likizo ziko masijara kwa wale wanotaka kwenda likizo mwezi huu wa sita.
  • Mitihani ya kidato cha tano itaanza tarehe 20/05/2013 angaria ratiba ya kusimamia na ushiriki .
  • Mke wa Mwl.Ngatila amejifungua mtoto wa kike. April 2013
  • Familia ya Fanueli wamepata mtoto wa kike April 2013.
  • Mwl.Sabina amepatwa na msiba .Mungu ampe faraja ya kweli
  • Mwl Clara Mabiki amefunga pingu za maisha ameingia katika huduma ya ndoa.
  • Mwl.Mwidete ni mgonjwa kafanyiwa upasuaji hivyo tuendelee kumwombea.


No comments: