4.Nafasi za masomo kilimo.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA
|
|
TANGAZO KUHUSU NAFASI ZA MAFUNZO YA KILIMO
NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA KWA MWAKA WA MASOMO 2013/2014
Wizara ya Kilimo
Chakula na Ushirika inatangaza nafasi za mafunzo ya Kilimo ngazi ya Cheti na
Diploma kwa mwaka wa masomo 2013/14 kama ifuatavyo:
A.MAFUNZO
YA KILIMO NGAZI YA CHETI: MUDA WA MAFUNZO MIAKA 2
CHETI
CHA KILIMO (CERTIFICATE IN GENERAL AGRICULTURE)
Mwombaji awe na sifa
zifuatazo:
- Mwombaji awe amehitimu Kidato cha IV kati ya mwaka 2010 na 2012 na kufaulu katika kiwango kisichopungua daraja la IV alama 27.
- Awe na ufaulu katika masomo matatu (3) ya sayansi yafuatayo ; “Physics”, “Chemistry”, “Biology”, “Mathematics”, “Agriculture” na “Geography”, pamoja na somo la “English”.
B.MAFUNZO
NGAZI YA DIPLOMA: MUDA WA MAFUNZO MIAKA 2
DIPLOMA
YA KILIMO (Diploma in General Agriculture)
·
Mwombaji
awe amehitimu Kidato cha VI kati ya mwaka 2010 na 2012 na kufaulu masomo ya
sayansi katika moja ya michepuo ifuatayo CBG, PCB na CBA. Kiwango cha chini ni
alama 17(Principal pass 1, Subsidiary
2).
- Awe amehitimu mafunzo ya kilimo ngazi ya NTA level 5 au cheti kutoka katika chuo cha kilimo kinachotambuliwa na serikali.
DIPLOMA
YA UZALISHAJI WA MAZAO (Diploma in Crop Production)
·
Mwombaji
awe amehitimu Kidato cha VI kati ya mwaka 2010 na 2012 na kufaulu masomo ya
sayansi katika moja ya michepuo ifuatayo CBG, PCB na CBA. Kiwango cha chini ni
alama 17(Principal pass 1, Subsidiary
2).
- Awe amehitimu mafunzo ya kilimo ngazi ya NTA level 5 au cheti kutoka katika chuo cha kilimo kinachotambuliwa na serikali.
DIPLOMA
YA UMWAGILIAJI (Diploma in Irrigation)
·
Mwombaji
awe amehitimu Kidato cha VI kati ya mwaka 2010 na 2012 na kufaulu masomo ya
sayansi katika moja ya michepuo ifuatayo PCM, EGM na PGM. Kiwango cha chini ni
alama 17(Principal pass 1, Subsidiary
2).
.
- Awe amehitimu mafunzo ya kilimo ngazi ya NTA level 5 au cheti kutoka katika chuo cha kilimo kinachotambuliwa na serikali.
DIPLOMA
YA MATUMIZI BORA YA ARDHI (Diploma in Land Use Planning)
·
Mwombaji
awe amehitimu Kidato cha VI kati ya mwaka 2010 na 2012 na kufaulu masomo ya
sayansi katika moja ya michepuo ifuatayo PCM, PCB, CBG, CBA na PGM. Kiwango cha
chini ni alama 17(Principal pass 1,
Subsidiary 2)..
- Awe amehitimu mafunzo ya kilimo ngazi ya NTA level 5 au cheti kutoka katika chuo cha kilimo kinachotambuliwa na serikali.
DIPLOMA
YA MATUMIZI YA ZANA KATIKA KILIMO (Diploma in Agromechanization)
·
Mwombaji
awe amehitimu Kidato cha VI kati ya mwaka 2010 na 2012 na kufaulu masomo ya
sayansi katika moja ya michepuo ifuatayo PCM, PGM na EGM. Kiwango cha chini ni
alama 17(Principal pass 1, Subsidiary
2).
- Awe amehitimu mafunzo ya kilimo ngazi ya NTA level 5 au cheti kutoka katika chuo cha kilimo kinachotambuliwa na serikali.
DIPLOMA:
MBOGA, MAUA NA MATUNDA. (Diploma in Horticulture)
·
Mwombaji
awe amehitimu Kidato cha VI kati ya mwaka 2010 na 2012 na kufaulu masomo ya
sayansi katika moja ya michepuo ifuatayo, PCB, CBG, CBA na CBN. Kiwango cha
chini ni alama 17(Principal pass 1,
Subsidiary 2).
- Awe amehitimu mafunzo ya kilimo ngazi ya NTA level 5 au cheti kutoka katika chuo cha kilimo kinachotambuliwa na serikali.
VIAMBATISHO
/MAELEZO MUHIMU
Waombaji wa mafunzo ya kilimo watume barua za maombi yao kwa njia ya
Posta.Barua hiyo iwe na anwani sahihi ya mwombaji pamoja na viambatisho
vifuatavyo kulingana na aina ya mafunzo:
- Nakala ya cheti cha ufaulu Kidato cha IV au cha VI.
- Nakala za vyeti vya kuhitimu mafunzo ya kilimo ngazi ya cheti (NTA Level 5)
- Barua zilizopitishwa na waajiri(kwa waombaji walioajiriwa).
- Majibu kwa watakaochaguliwa kujiunga na mafunzo ya kilimo yatatolewa kwenye tovuti ya Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika:www.kilimo.go.tz
- Waombaji watakaochaguliwa watatumiwa barua za kujiunga na mafunzo na Wakuu wa Vyuo ambako watakuwa wamepangwa kupitia anwani zao sahihi.
- Tangazo hili lipo pia katika tovuti ya Wizara: www.kilimo.go.tz na Vyuo vya Kilimo.
- Maombi yatumwe kwa wakuu wa vyuo kwa kutumia anwani zilizoorodheshwa hapo chini:
s/n
|
Long term training
programmes
|
Name of Institute
|
1
|
·
Diploma in
Land Use
·
Diploma in
Irrigation
|
MATI Igurusi
P.O.Box 336. MBEYA
|
2
|
·
Diploma in
General Agriculture
·
Certificate
in General Agriculture
|
MATI-Ilonga
P.O.Box 66 KILOSA
|
3
|
·
Diploma Agro mechanization
|
MATI Mlingano
P.O. Box 5051 TANGA
|
4
|
·
Diploma in
General Agriculture
·
Certificate
in General Agriculture
|
MATI-Ukiriguru
P.O Box 1434 MWANZA
|
5
|
·
Diploma in
Crop Production
·
Certificate
in General Agriculture
|
MATI Uyole
P.O. Box 2292 MBEYA
|
6
|
·
Diploma in
General Agriculture
|
KATC, MOSHI
P.O. Box 1241
MOSHI
|
7
|
·
Diploma in
Horticulture
|
HORTI Tengeru
P.O.BOX 1253,
ARUSHA
|
8
|
·
Diploma in
General Agriculture
·
Certificate
in General Agriculture
|
MATI MTWARA,
P.O Box 121,
MTWARA.
|
9.
|
·
Diploma in
General Agriculture
·
Certificate
in General Agriculture
|
MATI TUMBI,
P.O Box 306,
TABORA.
|
10.
|
·
Certificate
in General Agriculture
|
ATI MARUKU,
P.O Box 127,
BUKOBA.
|
11.
|
·
Certificate
in General Agriculture
|
KATRIN IFAKARA,
P.O Box 405,
Ifakara,MOROGORO
|
12.
|
·
Certificate
in General Agriculture
|
ATI INYALA,
P.O Box 2444,
MBEYA.
|
MWISHO WA KUPOKEA BARUA ZA MAOMBI NI
TAREHE 30.06.2013
Imetolewa
na:
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Chakula na
Ushirika
3.Nafasi za kazi WWF bonyeza hapa
2.www.grips.ac.jp.
1.Scholarship to korea Nafasi za kwenda kusoma nje
No comments:
Post a Comment