Bonyeza hapa kupata matokeo ya kidato cha nne 2012
Monday, February 18, 2013
Makabidhiano ya uongozi wa wanafunzi 2012-2013
Mkuu wa shule akiwa na viongozi wa juu wa wanafunzi waliopita (kushoto) na wapya (kulia).
Walimu,wafanyakazi na wanafunzi waliomaliza muda wao wa uongozi 2011/2012 na viongozi wapya wa mwaka 2012/2013Sunday, February 17, 2013
Ziara ya Imberhorne 2011
Waliokwenda kutembelea UK 2011
Mkuu wa shule ya Imberhorne Ndg Jon Ford akiwatambulisha wagni toka Tanzania wakati wa parade ya asubuhi .
Wageni toka Tanzania wakiwa na wenyeji wao.
Wageni toka imberhone wakiwasili Tanzania 2012 na kupokewa na wenyeji wao .Pichani unayemwona ni Mr Ijumba kulia na Mhasibu wa shule Karugendo.
Mr.Jim,Peter white na Miss Georgee wakiwa wamewasili Tanzania 2011
Wanafunzi wa imberhorne na minaki wakiwa paredi.
Mr.Jim akifundisha kidato cha sita.
Siku ya kuwaaga na kuwapa zawadi wageni toka Imberhorne
Saturday, February 16, 2013
Sherehe ya wafanyakazi minaki 2012
Mkuu wa shule akitafakari baada ya kutoa neno la ufunguzi wa sherehe hiyo iliyofanyika chanika.
Mr. Ngatila akiwa na kipenzi chake wakati wa sherehe
Baadhi wa wastafu walioalikwa kwenye sherehe fupi kutoka kulia ni kawambwa,mama chitemo,mkuu wa shule mzee maulusi,John mary aliyekuwa kiongozi wa kamati ya sherehe.
Ili sherehe ikamiliki lazime kuwe na kula na kunywa kama unavyojionea hapo pichani.
Yaliojili mara baada ya sherehe usiku huo,picha nyingine chini
Mambo kama hayo unayoyaona hapo juu kujirudia sio rahisi hata yakijirudia hayatakuwa na historia kama hii.
Mr. Ngatila akiwa na kipenzi chake wakati wa sherehe
Baadhi wa wastafu walioalikwa kwenye sherehe fupi kutoka kulia ni kawambwa,mama chitemo,mkuu wa shule mzee maulusi,John mary aliyekuwa kiongozi wa kamati ya sherehe.
Ili sherehe ikamiliki lazime kuwe na kula na kunywa kama unavyojionea hapo pichani.
Mara baada ya kula na kunywa wafanyakazi wakaanza kucheza.
Mambo kama hayo unayoyaona hapo juu kujirudia sio rahisi hata yakijirudia hayatakuwa na historia kama hii.
kidato cha sita
Hapo jana majira ya jioni wanafunzi wa EGM ,HGE NA HKL wamaliza mitiani yao ya mwisho kwa furaha na shangwe.
Subscribe to:
Posts (Atom)