Thursday, June 30, 2016

MAELEKEZO YA KUJIUNGA K5 MWAKA 2016/2017

BONYEZA HAPA JOIN 2016/2017 KUPATA MAELEKEZO YA KUJIUNGA K5  MWAKA 2016/2017
VIFAA VINAVYOPATIKANA SHULENI BONYEZA HAPA VIFAA VYA SHULE

TANZIA

Habari za siku.Kwa wale waliokuwa wanamfahamu Mr.Mwandata a.k.a Faza ambaye alikuwa mpishi amefariki dunia. R.I.P Faza.