Friday, July 19, 2013

kikao cha wafanyakazi julai 2013

Mkuu wa shule katikati akiteta mara baada ya kufungua mkutano wa walimu.Mkuu wa shule alizungumza kuhusu ufaulu wa wanafunzi wa kidato cha sita kilichomaliza na kusisitiza kuwa kuanzia tarehe 29/07/2013 walimu waanze kufundisha kwa bidii.
Walimu wakifuatilia mkutano kwa makini.
Walimu wakifuatilia mkutano kwa makini.
Walimu  wakifuatilia mkutano kwa makini.
Walimu wakifuatilia mkutano kwa makini.
Walimu na wafanyakazi wakifuatilia mkutano kwa makini.
Walimu na wafanyakazi wakifuatilia mkutano kwa makini.
Walimu na wafanyakazi wakifuatilia mkutano kwa makini.
Walimu na wafanyakazi wakifuatilia mkutano kwa makini.
Walimu na wafanyakazi wakifuatilia mkutano kwa makini.

 Walimu na wafanyakazi wakifuatilia mkutano kwa makini.

Monday, April 29, 2013

Safari ya Kikazi Nchini Uingereza

Mr.H.Chungu (Mkuu wa shule)akiwa katika safari ya kikazi nchini Uingereza mwaka 2012

Picha za jubilee mwaka 2000


Hapa utamwona Ndugu Peter ,karugendo na Mzee Rupia Aliyekuwa mwenyekiti  wa board ya shule ya minaki.

kibaoni Minaki Enzi hizo

Hapa ndipo chanzo cha kituo cha kibaoni minaki sekondary.Jina hilo lilitokana na kibao kilichokuwepo sehemu hiyo enzi hizooooo.

Monday, February 18, 2013

Matokeo ya kidato cha Nne 2012

Bonyeza hapa kupata matokeo ya kidato cha nne 2012

Makabidhiano ya uongozi wa wanafunzi 2012-2013


Mkuu wa shule akiwa na viongozi wa juu wa wanafunzi waliopita (kushoto) na wapya (kulia).
 
 Walimu,wafanyakazi na wanafunzi waliomaliza muda wao wa uongozi 2011/2012 na viongozi wapya wa mwaka 2012/2013

Sunday, February 17, 2013

Ziara ya Imberhorne 2011

Waliokwenda kutembelea UK 2011
Mkuu wa shule ya Imberhorne Ndg Jon Ford akiwatambulisha wagni toka Tanzania wakati wa parade ya asubuhi .
Wageni toka Tanzania wakiwa na wenyeji wao.
Wageni toka imberhone wakiwasili Tanzania 2012 na kupokewa na wenyeji wao .Pichani unayemwona ni Mr Ijumba kulia na Mhasibu wa shule Karugendo.
Mr.Jim,Peter white na Miss Georgee wakiwa wamewasili Tanzania 2011
Wanafunzi wa imberhorne na minaki wakiwa paredi.
Mr.Jim akifundisha kidato cha sita.

Siku ya kuwaaga na kuwapa zawadi wageni toka Imberhorne

Saturday, February 16, 2013

Sherehe ya wafanyakazi minaki 2012

Mkuu wa shule akitafakari baada ya kutoa neno la ufunguzi wa sherehe hiyo iliyofanyika chanika.
 Mr. Ngatila akiwa na kipenzi chake wakati wa sherehe
Baadhi wa wastafu walioalikwa kwenye sherehe fupi kutoka kulia ni kawambwa,mama chitemo,mkuu wa shule mzee maulusi,John mary aliyekuwa kiongozi wa kamati ya sherehe.

 Ili sherehe ikamiliki lazime kuwe na kula na kunywa kama unavyojionea hapo pichani.


Mara baada ya kula na kunywa wafanyakazi wakaanza kucheza.

Yaliojili mara baada ya sherehe usiku huo,picha nyingine chini

Mambo kama hayo unayoyaona hapo juu kujirudia sio rahisi hata yakijirudia hayatakuwa na historia kama hii.

kidato cha sita

Hapo jana majira ya jioni wanafunzi wa EGM ,HGE NA HKL wamaliza mitiani yao ya mwisho kwa furaha na shangwe.