Saturday, February 16, 2013

Sherehe ya wafanyakazi minaki 2012

Mkuu wa shule akitafakari baada ya kutoa neno la ufunguzi wa sherehe hiyo iliyofanyika chanika.
 Mr. Ngatila akiwa na kipenzi chake wakati wa sherehe
Baadhi wa wastafu walioalikwa kwenye sherehe fupi kutoka kulia ni kawambwa,mama chitemo,mkuu wa shule mzee maulusi,John mary aliyekuwa kiongozi wa kamati ya sherehe.

 Ili sherehe ikamiliki lazime kuwe na kula na kunywa kama unavyojionea hapo pichani.


Mara baada ya kula na kunywa wafanyakazi wakaanza kucheza.

Yaliojili mara baada ya sherehe usiku huo,picha nyingine chini

Mambo kama hayo unayoyaona hapo juu kujirudia sio rahisi hata yakijirudia hayatakuwa na historia kama hii.

2 comments:

Daniel said...

Just saying , that is good start

Unknown said...

ok,I have seen it.It is nice job!